The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,142
- 102,802
Unajua wewe jamaa una akili za kitoto sana kisha ni mwepesi sana wa kupoteza kumbukumbu,uzi wako huu ulikua una laani kutaja watu in public halafu sasa hivi unataka picha ambazo hazijathibitishwa ili tu ujifariji! kukurupuka kwako kwa hii thd hakuwezi kusafishwa na jambo lolote lile,acha kutetea ushoga.Dah asante sana wale ndugu zangu waliomuona shujaa hapa na kunidiss sana wameingia mitini wote.. Wanapita kimya kimyakimya tuu![]()



