Yap! Nitajinyakulia mwalimu moja ila kazi ya uwalimu nitamwachisha tu. Namfungulia miradi alee watoto tu. DUCE ni chuo cha watoto wa watu maskini, mtu mwenye pesa zenu uwezi poteza muda. Nenda DUCE kwa macho tu ukiwaona utawagundua kwamba hawa choka mbaya.
kwa kuwa mi mwalimu,nishapima uelewa wako,yaan ww hata kuoa hufai nahisi ni adolecent wewe!