DUCE Family on JF - Special Thread

DUCE Family on JF - Special Thread

Poa tukutane pale jikoni. Mkopo huwezi kosa review index no yako.! Hapa nilipo now net iko poa sana

Poa basi jaribu jaribu,moyo wang utulie japo hta nikikosa duce nitakuja tu,naomba no 0719362585
 
Poa Sana itabidi nikucheki on air for more info za jikoni kwetu. Bt Please provide a valid
Index number nikuchekie mkopo hii umekosea jamani mana haileti jibu lolote. Ingekua umekosa tungejua but inaonyesha kuna some errors kwenye index yako Dada LILIAN MK
 
Last edited by a moderator:

Naomba nicheck on air nikueleze,mi sielew kwan hyo ndo index no o level
S0311/0122 graduation year 2004, JINA TUMAINI ADAMU.
 
Last edited by a moderator:
Habari Zenu wakuu.. Mimi nimechaguliwa Duce naomba kujuzwa changamoto za hiki chuo!! Pia kama kuna kubebana tukumbukane jamani

Wewe kiboko .. yaani bado hata hujaanza chuo unafahamu "kubebana"!?
 
Nimesoma(pspa and geography) Duce na kumaliza 2010. Sina hamu na kile chuo japo kuwa kimenifanya niweze kuendana na changamoto za kimaisha. Shida ya duce nyumba tabu hosteri ziko mbali sijui kwa sasa upande wa academic duh! Jamaa wanabana ni noma ila nasikia siku hivi wamepunguza kuna Mama anaitwa VAKOLAVENE .hatari unaweza ju -disco first year.
 
Naomba nicheck on air nikueleze,mi sielew kwan hyo ndo index no o level
S0311/0122 graduation year 2004, JINA TUMAINI ADAMU.

Ok. Nitakuchek on air Dada ili unipe hiyo index yako kwa ufasaha zaidi.
 
Nimesoma(pspa and geography) Duce na kumaliza 2010. Sina hamu na kile chuo japo kuwa kimenifanya niweze kuendana na changamoto za kimaisha. Shida ya duce nyumba tabu hosteri ziko mbali sijui kwa sasa upande wa academic duh! Jamaa wanabana ni noma ila nasikia siku hivi wamepunguza kuna Mama anaitwa VAKOLAVENE .hatari unaweza ju -disco first year.

Mwaka huu First year DUCE wame disco 23
 
jioni uwe unaenda pale barracks kupiga bia kama wenzako wanavyo fanya. mia
 
Hii Familly imenivutia sana,wachangiaji wanajieshimu..Kweli Duce ni the best kwa kutoa walimu bora Tz.
 
Pongezi kwa JF kwa kujali Na kuweka Familia Ya DUCE. Idumu JF
 
Back
Top Bottom