Mwaka huu First year DUCE wame disco 23
Yap! Nitajinyakulia mwalimu moja ila kazi ya uwalimu nitamwachisha tu. Namfungulia miradi alee watoto tu. DUCE ni chuo cha watoto wa watu maskini, mtu mwenye pesa zenu uwezi poteza muda. Nenda DUCE kwa macho tu ukiwaona utawagundua kwamba hawa choka mbaya.
Wakati niko mtaani nilikua nasema naenda kuchukua Degree. Lakini sasa nimeamini Degree haichukuliwi bure.
Be siriazi
We sijui unafikiri kwa kutumia ma*****
Bali inatafutwa. Kila kitu kipo kawaida ila ni walimu ndo wanafanya kiwe cha kawaida au cha kutisha.
Karibu DUCE
shule imebana kweli du,kumbe degree c mchezo.
Mmmm.... mapema hivyo..!?
Halafu anasoma education ,je angekuwa law,engineering,medicine si angelia?
Vipi mazingira ya mbagalakaribuni sana duce familly .changamoto ya pale ni kupata hostel za ndani ya chuo ila unapangiwa mabibo hostel wanapokaa wa main campus au mbagala hostel sema kinachoboa mpaka watu wanachukua mageto ni foleni ya dsm na ukipanga geto ni 50 na kuendelea hii ni kwa sababu chuo kipo uwanja wa taifa...na kuhusu direct cost km utapata asilimia mia utalipa kama 75 tu iv na kusaina bumu na kuendelea kula life as i alwayz did
But kwenye room huwa kuna material gani nyingine kuacha kitandato be honest sio kuzur sana
thanks mkuu kwa taarifameza vit na kabati la nguo