DUCE Family on JF - Special Thread

DUCE Family on JF - Special Thread

Kumbe Mzee kabisa halafu unapotosha watu kuwa kuna Baed Science? Hakuna degree ya aina hiyo hapa duniani

ni kweli hiyo degree haipo ndugu yangu,kwasababu Baed=Bachelor of Arts in Education,sasa hiyo sayansi inasimamaje hapo,labda kama alimaanisha Bed Science hiyo ndo ipo
 
Wa mbagala na mabibo omba vipi vyako atleast vifuatane siyo kimoja saa moja sabuhi then kingine saa kumi na moja hapa katikati unabaki kama mjusi tu umejianika kwenye majani
 
Kumbe Mzee kabisa halafu unapotosha watu kuwa kuna Baed Science? Hakuna degree ya aina hiyo hapa duniani


samahaani nimekuquote vibaya,upo sahihi naomba radhi kwa kukukosoa kumbe ilikuwa the same thing
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Nimesoma(pspa and geography) Duce na kumaliza 2010. Sina hamu na kile chuo japo kuwa kimenifanya niweze kuendana na changamoto za kimaisha. Shida ya duce nyumba tabu hosteri ziko mbali sijui kwa sasa upande wa academic duh! Jamaa wanabana ni noma ila nasikia siku hivi wamepunguza kuna Mama anaitwa VAKOLAVENE .hatari unaweza ju -disco first year.

Mkuu kumbe DUCE kuna kozi nyingi? Me nilijua wanatoa BED,Bs Ed & BAED tu kama sijakosea!!
 
Karibuni kwenye Orientation week hapo tarehe 12
 
Back
Top Bottom