Habari Zenu wakuu.. Mimi nimechaguliwa Duce naomba kujuzwa changamoto za hiki chuo!! Pia kama kuna kubebana tukumbukane jamani
Karibu DUCE kijana.
msaada kuhusu DARUSO na hostel,make naona kwa waliokosa wameambiwa daruso itawasaidia
Karibu DUCE kijana.
Naomba unijuze yaliyojir leo duce maana cjaja,na j3 inakuaje tunaenda au ndo mapumziko
tunaenda isipokua tarehe 16
msaada kuhusu DARUSO na hostel,make naona kwa waliokosa wameambiwa daruso itawasaidia
Habari Zenu wakuu.. Mimi nimechaguliwa Duce naomba kujuzwa changamoto za hiki chuo!! Pia kama kuna kubebana tukumbukane jamani
Wana Duce tumepoteana. Ahahahaahaaa kweli shule ngumu!!!
Huo ni mtizamo wako! Ulala hoi ni mipango tuu! Pamoja na maneno yako ya dharau, kuna watu tunakula maisha! Women I vijana msichukue maneno ya vilaza kama huyu mkakata tamaa! Bila kujali kozi uliyosoma, una haki ya kufanya kazi yeyote