Mambo, na mi wa DUCE, Baed in science bt mkopo cjajua km nimepata ni full kuwaza....
we hakuna degree inayoitwa Baed in science...
Fanya mpango ujue ili tuwe pamoja kwani umetoka shule gani....Mambo, na mi wa DUCE, Baed in science bt mkopo cjajua km nimepata ni full kuwaza....
network inazingua sana..mpaka kero yan..niangalizien huo mkopo jaman wa duce wenzangu.
Kamkopo utapata tu ndugu....UsijaliMe npo duce bachelor of science with edu,kamkopo cjajuaaa
Mambo, na mi wa DUCE, Baed in science bt mkopo cjajua km nimepata ni full kuwaza....
Me ndio naanza kusikia leo hiyo degree ya baed in science.....tatizo hapo Baed in science,sidhani kama kuna degree hiyo so mkopo utaenda katika degree gani
Wote wakigoma wakasoma kozi yako,ndugu zako watafundishwa na nani?Pamoja na maslahi duni ya walimu mpaka leo bado mnachagua ualimu
Me ndio naanza kusikia leo hiyo degree ya baed in science.....
Basi nisaidien duce mwenzenu kuangalia mkopo