Raby Kilua
Senior Member
- Jul 12, 2013
- 128
- 23
Duce sina imani kama ina hosteli zake zakujitegemea.. Coz nina ndugu yangu yuko pale hajawahi niambia hili swala tangu mwaka wakwanza analalamika bei za vyumba mtaani
Duce njooni tuchange mawazo jins yakuishi ndugu!!!!!
unataka mlale wawili joto lenyewe ni noma
Msidanganywe hostel zipo mfano duce penyewe,mabibo na mbagala hostel na kuhusu msuli hili ndiyo tawi la udsm linalosumbua hivyo kijana wangu issue ni kukomaa 2 maana ukicheza lazima utadisco
Nashukuru Mkuu!! Wengine nahis hawalijui hili suala la Hostel hapo Duce
Msidanganywe hostel zipo mfano duce penyewe,mabibo na mbagala hostel na kuhusu msuli hili ndiyo tawi la udsm linalosumbua hivyo kijana wangu issue ni kukomaa 2 maana ukicheza lazima utadisco
wakuu, vp kuhusu accomodation fee ni kias gani?
Ila Hostel ni game tu kuchaguliwa mara nyingi wanaangalia wa2 wanaotoka mikoa ya mbali
karibuni MUCE ni ful bata...!!
1st semester inaweza ikawa 74,000 na second semester 59,000...uhakika zaidi nitakujuza,msipate wasiwas tupo kaka zenu kuwasaidia kuhusu hilo la kupata rum,uongoz wa DUCE wana ushirikiano sana hasa kuhusu wagen kupata hostel iwe ya chuo au private karibuni sana.