kaka Slave ahsante sana tena sana you owe me one. Ahsante kwa kuwa name kipindi hiki kigumu
wala usiwaze mie ni wajibu wangu,ujue mie ni zaidi ya mumeo,ukifukuzwa huko kwa mumeo lazima utarudi nyumbani ambapo ndipo kimbilio letu. U mume na mke unaweza kuisha lakini U dada na kaka hauishagi kamwe.
thanks Passion Lady
ahsante my sis Thank God nimeamka nafuu ipo
God is great...
Always there for you mdogo wangu