Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Ugonjwa hauna hodi unaweza kukumbwa tu kama kimbunga kivamiavyo nyumba iliyo sahaulika kufungwa milango, kama nyumba haina msingi imara inaweza kuezuliwa kabisa.. Dada yangu kipenzi alie wahi kushiriki mashindano ya miss chit chat 2012 dada Arabela anaumwa..dada yangu kipenzi nakuombea kwa m.mungu akupe shifaa mapema. Mimi pamoja na wana cc tunaungana kukuombea upate tahfif.
 
Last edited by a moderator:
hii ni habari mbaya kwa wanajf hasa chit chat na nitonye.
 
Last edited by a moderator:
Mungu aliye hai atakupigania kwa uweza wake ili urudi katika hali yako ya kawaida. Arabela pole i wish ningekuwa karibu yako hapo ili uisikie sauti yangu,Alwayz i will be there for you
 
Last edited by a moderator:
ale sana anywe maji mengi na azingatie aliyoambiwa na daktari atarudi kwenye hali yake ya mwanzo get well soon sis..
 
ale sana anywe maji mengi na azingatie aliyoambiwa na daktari atarudi kwenye hali yake ya mwanzo get well soon sis..

kweli kabisa ushauri wako ni zaidi ya dawa maana maji ni uhai
 
Jamani mpe pole tunamwombea mungu amponye apate afya njema nini kinachomsumbua zaidi bestito?
ugonjwa hauna hodi unaweza kukumbwa tu kama kimbunga kivamiavyo nyumba iliyo sahaulika kufungwa milango, kama nyumba haina msingi imara inaweza kuezuliwa kabisa.. Dada yangu kipenzi alie wahi kushiriki mashindano ya miss chit chat 2012 dada arabela anaumwa..dada yangu kipenzi nakuombea kwa m.mungu akupe shifaa mapema. Mimi pamoja na wana cc tunaungana kukuombea upate tahfif.
 
pole sana Arabela nakuombea dua upone haraka
 
Last edited by a moderator:
Mungu aliye hai atakupigania kwa uweza wake ili urudi katika hali yako ya kawaida. Arabela pole i wish ningekuwa karibu yako hapo ili uisikie sauti yangu,Alwayz i will be there for you

Nilijua tu. Umemtumia pesa za kujiuguza au sound tu
 
Ahsante sana wana chit chat kwa maombi yenu. Am seriously sick sina nguvu ya kumjibu kila mmoja ila your wishes are much more enough. Nawapenda wote
 
Back
Top Bottom