Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Ahsante sana wana chit chat kwa maombi yenu. Am seriously sick sina nguvu ya kumjibu kila mmoja ila your wishes are much more enough. Nawapenda wote

God will give you a healing hand......believe in him
 
Ahsante sana wana chit chat kwa maombi yenu. Am seriously sick sina nguvu ya kumjibu kila mmoja ila your wishes are much more enough. Nawapenda wote

kwani waumwani! ingawa hivyo pole sana japo mimi si mwana cc.
 
Arabela uwe mvumilivu ktk kipindi hiki kigumu soma kisa cha nabii ayubu maana ugonjwa ni mtihani unaweza kukufuru. charminglady na my wife Evelyn Salt tupo pembembeni yako tukikuombea. pia mwenyekiti Baba V amepokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Arabela, Mungu akuponye
Z
 
Ugonjwa hauna hodi unaweza kukumbwa tu kama kimbunga kivamiavyo nyumba iliyo sahaulika kufungwa milango, kama nyumba haina msingi imara inaweza kuezuliwa kabisa.. Dada yangu kipenzi alie wahi kushiriki mashindano ya miss chit chat 2012 dada Arabela anaumwa..dada yangu kipenzi nakuombea kwa m.mungu akupe shifaa mapema. Mimi pamoja na wana cc tunaungana kukuombea upate tahfif.

ahsante sana my kaka.nafuu ipo
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Arabela, unaendeleaje?

Get Well Soon darling!
 
Last edited by a moderator:
Mungu aliye hai atakupigania kwa uweza wake ili urudi katika hali yako ya kawaida. Arabela pole i wish ningekuwa karibu yako hapo ili uisikie sauti yangu,Alwayz i will be there for you

nitonye thanks for your support and your presence. Kwakweli siwezi sahau
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom