Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Ugonjwa hauna hodi unaweza kukumbwa tu kama kimbunga kivamiavyo nyumba iliyo sahaulika kufungwa milango, kama nyumba haina msingi imara inaweza kuezuliwa kabisa.. Dada yangu kipenzi alie wahi kushiriki mashindano ya miss chit chat 2012 dada Arabela anaumwa..dada yangu kipenzi nakuombea kwa m.mungu akupe shifaa mapema. Mimi pamoja na wana cc tunaungana kukuombea upate tahfif.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom