Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Dua zenu za hitajika dada yangu anaumwa.

Asante mungu hatimae umefanya muujiza mwingine tena dada yangu sasa anaendelea vizuri.
 
Nafurahi kusikia Arabela aendelea vema. Mwambie asiache kuzingatia kujitunza!
Asante mungu hatimae umefanya muujiza mwingine tena dada yangu sasa anaendelea vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi kusikia kuwa ALAbera umzima Mungu atakupa nguvu ila kazana kula sana
 
Last edited by a moderator:
Tunakuombea upone haraka, magonjwa ni yetu wanadamu, ujaliwe kuchukulia na hili kama mapito tu.
 
Arabela uwe mvumilivu ktk kipindi hiki kigumu soma kisa cha nabii ayubu maana ugonjwa ni mtihani unaweza kukufuru. charminglady na my wife Evelyn Salt tupo pembembeni yako tukikuombea. pia mwenyekiti Baba V amepokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.

kaka Slave ahsante sana tena sana you owe me one. Ahsante kwa kuwa name kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
FP my dia ahsante sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom