Dua zenu tafadhalini

kila la kheri flora,mungu akupe nguvu na uwezo wakujifungua salama,mtoto na ww muwe na afya njema,2po pamoja katk sala dia.

asante my dear japo nimechoka mno kwakweli jumlisha uchovu wa safari na kijacho haaaa!!!
 
you are welcome..
anyway, nimejikuta sijaipenda hii lugha 'kutotoa' imekaa kiudhalilishaji kwa mtazamo wangu..
wishing you luck Sister..

I support the motion, mkuu hata mimi hili neno kutotoa linakwaruza kichwani tunaomba mtoa hoja abadili title, ni hiari si lazima japo haiko njema sana.
 
you are welcome..
Anyway, nimejikuta sijaipenda hii lugha 'kutotoa' imekaa kiudhalilishaji kwa mtazamo wangu..
Wishing you luck sister..

haaaa pole mpendwa
kama umekereka na lugha hii next time ntatumia ma neno matamu kama kuzaa
 
I support the motion, mkuu hata mimi hili neno kutotoa linakwaruza kichwani tunaomba mtoa hoja abadili title, ni hiari si lazima japo haiko njema sana.

TAITOO?? POLEN MLIOKWAZIKA SIKUMAANISHA KUMKWAZA YEYOTE

samahanini!
 
Mbona rejao kagonga like? ndo babaake greti thinka junior nini?
utotoe salama aisee, usje ukamuita PAW, itakula kwako.
 
mbona rejao kagonga like? Ndo babaake greti thinka junior nini?
Utotoe salama aisee, usje ukamuita paw, itakula kwako.

hahahahahaaa rejao ni mjomba wake wa hiari ila dogo akiwa km huyu mjombaake ntapata taabu sana ubishi tuu!ila hana dalili hata moja ya kurith hizo tabia tangu hapa tumboni! Paw!kwanini unasema nkimwita hivi imekula kwangu!? By the way ubatizo utafanyka papa hapa jeief mola akijaalia nikideliver salmini thanx cloro!
 
Majina ya PAW wakali sana bana anaweza akaja akakudai urithi bado uko hai. Nikipigwa ban hii post ndio itakuwa sababu. Again nakuombea tena ukapokee ka junior ketu kwa furaha na amani, na lawyer ukiona kamuombea mtu mara mbili ujue kampenda kweli aisee!
 
majina ya paw wakali sana bana anaweza akaja akakudai urithi bado uko hai. Nikipigwa ban hii post ndio itakuwa sababu. Again nakuombea tena ukapokee ka junior ketu kwa furaha na amani, na lawyer ukiona kamuombea mtu mara mbili ujue kampenda kweli aisee!

ok lawyer nakushkuru kwa ushauri ngoja nikalaze maana leo kanarusha mateke mwanzomwisho asee nahisi siku zake za kuishi humu zimepita! Thanks na ntamwita paw utake uspende! AMA NTAMWITA KLORO
 
ok lawyer nakushkuru kwa ushauri ngoja nikalaze maana leo kanarusha mateke mwanzomwisho asee nahisi siku zake za kuishi humu zimepita! Thanks na ntamwita paw utake uspende! AMA NTAMWITA KLORO

Hahahah eti kanarusha mateke lol.......kapumzishe mwaya na kenyewe kalale unono!!!
 
dah kujifungua ni project inayojitegemea atii,
hongera na kila la kherii dia!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom