Dua zenu tafadhalini

Usijali Mungu yupo na wewe,mwamini yeye kwa kila jambo
 
kabebii kakiume kaje kubatizwa hapa hapa jf au sio?
Mungu atakuwa upande wako na mtarajiwa pia, wote tuseme AMEN!
 
kabebii kakiume kaje kubatizwa hapa hapa jf au sio?
Mungu atakuwa upande wako na mtarajiwa pia, wote tuseme amen!

yees ntakujulishen by the way na yy ni memba humu! Musa wote tulisaidiana kusogoa humu jamii forums
 
all the best angel , mtoto kama ni dume mwite bucho .

kwani mnamatatizo ninyia? Am not angel bhanaa!
Thanks anyways na dua ya kwanza ishafanikiwa coz niko home safe and sound asanteni wote mliontakia kheri!!
 
all the best angel , mtoto kama ni dume mwite bucho .

kwani mnamatatizo ninyi?? Am not angel bhanaa!
Thanks anyways na dua ya kwanza ishafanikiwa coz niko home safe and sound asanteni wote mliontakia kheri!!
 
etii eee so nianze kujiita mama maprosoo sio thanks,ningependa wa kischana lakini,ujue watoto wa kike wanafaida sana!

Flora ,
kwa hili la mtoto yupi moreprofitable tumekunyamazia si kama tumekosa majibu,
laa !
Ni kutokana na hali yako kwa sasa.
Kajifungue kwanza , then hilo liandalie Uzi wake mbona majibu lukuki ? Ukitaka ya yaje kwa chururu utayapata , ukitaka kwa ndondondo yatakudondokea .
 
Back
Top Bottom