Dua zenu tafadhalini

Jamani all the best Mungu akulinde akupe nguvu na awape wote watakaokuhudumia hekima,malaika wakulinde tunakataa hila zote za shetani,its so sweet to be a mother and great gift in the world,
 
jamani wewe......hahahahaaa!!! Kama kamchezo vile lol!

hahahahahahahaaa hapa nasubiria kumcheki dogo maana nahisi atatokea mtaani make anapenda bia huyoo yaani hata bar inabidi niende na kadi ya klinik mweee mmm
 
hahahahahahahaaa hapa nasubiria kumcheki dogo maana nahisi atatokea mtaani make anapenda bia huyoo yaani hata bar inabidi niende na kadi ya klinik mweee mmm

Dah.......dogo nomaaa, na kitu cha biyaaaaa tena, hauna ukoo na babu Asprin kweli wewe? Lol
 
Kama katakuwa kadada kaite CHIKU usikaite FaizaFox katakuwa kajeuri.
 
Flo,ukijaliwa kabebiboi kaite bishanga abashaija,kakike kaite elizabeth,pliiiiizzzzz!!!
 
lahaula kwakwelihuu kwangu ni mwaka wa
shetani kabla sijatotoa nimekumbana na mgomo
wa madaktari naombeni muendelee kuniombea dua zenu ndugu
zanguni maana tarehe za makadirio ndo zishagota
na mgomo ndo baado wamoto nahisi nta rip
msiache kuja nizikajamani, walaaniwe wootewanaosababisha mamgomo haya
including mheshimiwa.......

Wandugu leo nipo safarini naelekea kilimanjaro! Kutotoa naombeni dua zenu nitotoe salama na madaktari wasigome!
 
Back
Top Bottom