Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
kwa mwendo wa bia kanazokunywa lazma kazaliwe kamelewa chakarihahahahahahahaaa hapa nasubiria kumcheki dogo maana nahisi atatokea mtaani make anapenda bia huyoo yaani hata bar inabidi niende na kadi ya klinik mweee mmm