Maaskofu wameonesha ngozi yao kamili, chui ndani ya ngozi ya kondoo.Dua yoyote kwenye shuguli za kuserikali ni unafki tu iwe ya kikristo au kislam
Hata wale wanao hapa huku wameshikilia biblia na wengine quran, ni unafki tuuu
Ova
Serikali haina dini, huyo naye sheikh ni mnafiki tu kwa kuigiza kuombea duaCha kushngaza. Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Weka ukuta wa zege wenye Tec yao wanakuja na mafuriko makali na upepo!
Hilo ni wazi kabisa, msukule wao Slaa kishalitangaza.WHO KNOWS,LABDA WANAANDAA EPISODE YA PILI YA ILE MIWARAKA YAO UCHWARA,TULIWAAMBIA HIZO WARAKA WAKAFUNGIE KITI MOTO HAWAKUTAKA.
Haya rudi sasa kwenye Kambi ya Fisi ukaendelee na majukumu mengine.Serikali haina dini, huyo naye sheikh ni mnafiki tu kwa kuigiza kuombea dua
Warabu mkishaiombe inatoshaKama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza. Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Hapa nilipo ni kambi ya fisi sasa nirudi wapi?Haya rudi sasa kwenye Kambi ya Fisi ukaendelee na majukumu mengine.
Unataka kusemaje? Kwamba waliletwa pale kwa " ka-mguu kasikuunguze"?Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?