habari yako;
nimepata tetesi kuwa DTB wameita watu kwenye usahili..Je kuna ukweli juu ya hili, mwenye taarifa sahii na kamili kuhusu majina ya walioitwa, siku, saa, na mahali usahili huo utakapofanyika naomba atujuze.
Interview ilikua kwa mafungu mkuu,wengine ilikua jumatatu,kwani hukupigiwa simu?
Kuna chalii kafanya interview ya GMT wameambiwa watapigiwa simu next week. Hivi wanahitaj watu wangapi, nasikia mtu nyomi.,
Navojua ni sita,lakini kunamaelezo ambayo yaonesha kama itakua zaidi but sina hakika sana
watu bado hawajaitwa kwenye oral interview? kwa yetote mwenye taarifa kuhusu hawa jamaa atujulishe...:horn:
Walianza na written pale mbagala, wakapiga oral j.3 ya tarehe 17/December/2012 chaliii kaniambia bado interview ya tatu na ya mwisho: Hiyo ya mwisho ndiyo wanasubir wapigiwe simu.
hamna oral ya tatu ...iliofanyika j3 ndo ilikua ya mwisho ..
Kama haukupigiwa simu/ haukuitwa ujue haukuwa short listed. Tafuta kwingine!habari yako;
nimepata tetesi kuwa DTB wameita watu kwenye usahili..Je kuna ukweli juu ya hili, mwenye taarifa sahii na kamili kuhusu majina ya walioitwa, siku, saa, na mahali usahili huo utakapofanyika naomba atujuze.
Kama haukupigiwa simu/ haukuitwa ujue haukuwa short listed. Tafuta kwingine!
Yah, hata mm walinambia kuna ya tatu
Mshahara sasa, hapo ndipo patamu. Bank ya wahindi hii. Bora tu niendele na kuuza matunda, ujasiria mali ndio kila kitu.
Halafu wale jamaa ni Agha Khan aisee, sasa sijui ndugu zetu wanalipwa sh. Ngapi!yaani bora nibaki hukuhuku serikalini tu hata kama mshahara utachelewa ila najenga nchi yangu