Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,617
- 3,031
Wakuu kwema?kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimesikia Mahali kwa juu juu kuwa eti upareni Kuna mzee wa Mila ambaye kupitia maombi maalumu kwa mizimu yake anauwezo wa kutatua changamoto kama ugojwa,ajira,biashara na mengineyo.
Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu mzee huyo atiririke,Asanteni.
Mshana Jr
Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu mzee huyo atiririke,Asanteni.
Mshana Jr