DTB-Diamond Trust Bank

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
habari yako;
nimepata tetesi kuwa DTB wameita watu kwenye usahili..Je kuna ukweli juu ya hili, mwenye taarifa sahii na kamili kuhusu majina ya walioitwa, siku, saa, na mahali usahili huo utakapofanyika naomba atujuze.
 
Ni kweli na mimi nimeskia wameitwa watu na watafanyia usahili branch ya mbangala siku ya jumatatu
 
Kuna chalii kafanya interview ya GMT wameambiwa watapigiwa simu next week. Hivi wanahitaj watu wangapi, nasikia mtu nyomi.,
Interview ilikua kwa mafungu mkuu,wengine ilikua jumatatu,kwani hukupigiwa simu?
 
watu bado hawajaitwa kwenye oral interview? kwa yetote mwenye taarifa kuhusu hawa jamaa atujulishe...:horn:
 
Walianza na written pale mbagala, wakapiga oral j.3 ya tarehe 17/December/2012 chaliii kaniambia bado interview ya tatu na ya mwisho: Hiyo ya mwisho ndiyo wanasubir wapigiwe simu.

hamna oral ya tatu ...iliofanyika j3 ndo ilikua ya mwisho ..
 
Waungwana mimi najiandaa kwenda kuriport kazini, kama kutatokea update yoyote kuhusu DTB Tanzania tufahamishane ili na sisi tutoe taarifa kwa washkaji zetu ambao wapo vijijini na hawana access ya internet.
 
habari yako;
nimepata tetesi kuwa DTB wameita watu kwenye usahili..Je kuna ukweli juu ya hili, mwenye taarifa sahii na kamili kuhusu majina ya walioitwa, siku, saa, na mahali usahili huo utakapofanyika naomba atujuze.
Kama haukupigiwa simu/ haukuitwa ujue haukuwa short listed. Tafuta kwingine!
 
Mshahara sasa, hapo ndipo patamu. Bank ya wahindi hii. Bora tu niendele na kuuza matunda, ujasiria mali ndio kila kitu.
 
Halafu wale jamaa ni Agha Khan aisee, sasa sijui ndugu zetu wanalipwa sh. Ngapi!yaani bora nibaki hukuhuku serikalini tu hata kama mshahara utachelewa ila najenga nchi yangu
Mshahara sasa, hapo ndipo patamu. Bank ya wahindi hii. Bora tu niendele na kuuza matunda, ujasiria mali ndio kila kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom