Dstv mnawatesa vijana wenu wa mauzo

Dstv mnawatesa vijana wenu wa mauzo

Umasikini unatutesa sana, unaamua kuichukia DSTV sababu huwezi kuilipia
 
Dstv wameibuka na mtindo wa kutembea na madishi mtaani kuuza.

Jana nikakutana na mdada kachoka kaweka lile liungo chini akiliangalia tu, kuweni na huruma, mdada kutembea siku nzima kabeba liungo si kazi nyepesi,

Hivi kweli katika mbinu zote za kimasoko hii ndo mmeona ndo mbinu ya maana, mmeishiwa kiasi hiki??
Kwanini DSTV ni ghali sana?
 
Unajua ukiwa dar vijana wanakuwa comfortable kiroho, ile akiamka kaona magorofa, hatua mbili lami, mabasi ya mwendo kasi, akipigiwa simu ajibu aliempigia niko dar, facebook status kaandika living in Dar es salaam Tanzania!

Hii mentality imefanya dar iwe sehem ambako unaweza pata cheap labour kuliko mikoani. Watu wanatumikishwa heavyly na kulipwa kiduchu na hawataki kutoka kisa tu Jiji la Dar es salaam.
 
Ha Ha Ha... Jamiiforum raha sana
 
Back
Top Bottom