Dstv mnawatesa vijana wenu wa mauzo

Dstv mnawatesa vijana wenu wa mauzo

Mie naona DSTV wako vizuri sana ,ukizingatia gharama zao wameshusha sana kwa sasa.
 
Dstv wanahudumia kwa madiba na huku kwetu anauza ving'amuzi ndo analipia Epl je azam si kulipia tu anaua na kampuni
 
Azam akipata right ya kuonyesha EPL bei zake zitapaa, hazitabaki hizi za sasa. Wanaweza kuwa ghali kuliko DStv.
 
Akiri za watznia mtu iko kazini arafu unamuonea huruma kwani hiyo kazi niya lazima ndomaana wa Kenya wanatudharau kutuona kama wavivu maneno mengi
 
Customer service yao hawa watu ni mbovu mno mpaka king'amuzi nimekitupa jalalani
 
Na walivyo na huduma mbovu, sijui kama wanapata wateja watoto wa watu!
 
Mkuu huyu mtoa mada ndio aina ya vijana wa kitanzania yaani kichwani ni zero hata kujenga hoja hawajui wao kila ujinga wanaouona wanapost hapa jf ilimradi na wao waonekane wanatumia social media
Yaani wewe kichwa chako ndio bure kabisa, sijui unataka uonekane unatumia social media!
 
Tatizo lao bei zao na kipato chetu haviendani kabisa! Siku Azam wanapata haki EPL biashara ya dstv kwaheri
Nyie watu mnachekesha sana. Ulisikia "haki" za kuonyesha EPL msimu 2018/19-21 walinunua Sky Sports na BT sports kwa pounds ngapi?

Hivi unadhani Azam atakuonyesha EPL kwa hiyo Tsh.18,000 unayolipa sasa?

Be informed brother, EPL rights are over the moon.
 
Back
Top Bottom