ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,219
- 129,471
Watu wanafuata VPL na sio kingine, azam haina za kuvutia kihivyo, ila mpira wa ndani unafanya watu wanunue visimbusi vya azam.azam yuko vizuri na anapendwa. kipimo ni rahisi tu angalia kwenye majumba, madish mengi ni yapi kati ya azam na dstv