Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 888
- 655
SureKaI ni kazi lazima uwafuate wateja walipo
Kabla ya kupewa kazi unaambiwa aina ya kazi utakayofanya,Dstv hawashikii watu bunduki,ungemshauri aache kazi umpe wewe kazi badala ya kuja kulia hapa