Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,330
....
.....aiseehh watu wanakula viwavi
.....aiseehh watu wanakula viwavi
Imagine viti 70 na huu ndio mziki wake vingekuwa mia jeViti 70 kati ya 290 ndio upinzani wenye nguvu?Mtaishia kutoka tu bungeni hakuna upinzani kuna wapiga kelele tu
Nmecheka sanaaNa wataendelea kula viwavi jeshi hata Magufuli anajua wale hawajitambui ndio maana hata CT -SCAN iliyokuwa iende Dododma iakbadilishwa njia na Kupelekwa Dar, bado wanapiga vigelegele halafu huo mkoa eti una wabunge na wapo amabao ni mawaziri na hili wameona nisawa sawa tu, shame.
Ingekuwa hatare tupu,,ccm bungeni wangekuwa kama wapinzani,,Imagine viti 70 na huu ndio mziki wake vingekuwa mia je
Vipi Arusha nayo mbona hakuna ccm lakini haliangaliwi kwa jicho hilo? Dar ndo jicho la Tanzania ni uvivu kuhisi Rais anadeal na Dsm kwa kuwa ccm imekatakiwa.Mkuu hii nimeipenda sana,operation kataa ccm upate maendeleo?salute kwako mzee
Sababu ni hii,,arusha haijapoteza majimbo kipindi cha uchaguzi,,ila dar majimbo yamechukuliwa na ukawa kutoka ccm.hivyo kudeal na dar ni kurudisha imani kwa wananchi ambao waliichagua ccm uchaguzi uliopita na uchaguzi huu hawakuichagua!unaona tofauti apo,,??japo inawezekana kuwa jpm ameipa kipaumbele dar na sio sababu za kisiasa,,..maybe..huku tukijua kila mkoa una shda na sio dar pekeeVipi Arusha nayo mbona hakuna ccm lakini haliangaliwi kwa jicho hilo? Dar ndo jicho la Tanzania ni uvivu kuhisi Rais anadeal na Dsm kwa kuwa ccm imekatakiwa.
Ndio hivyo 70 sio 100Imagine viti 70 na huu ndio mziki wake vingekuwa mia je
Tathmini hiyo imefanywa na nani? Ndio mana mmelalamika spika ameteua wasio na uwezo,,kumbe pia hata hao 70 asilimia kubwa ni vilaza,na hao tano bora yako ni hawa:-kubenea,sugu,professor J,mke wa kafulila na lema ndio vichwa vyenu hivyoHivi mjomba umesoma uzi wenyewe au umekurupuka tu ? unaambiwa wabunge 5 tu wa upinzani thamani yao inazidi hao wagonga meza wako wote , sasa mna nini humo ?
Kama ni vichwa kwa hoja za shanga nakubaliana naweHaaahahha, ukubwa wa pua si wingi wa kamasi mkuu, hawa wachache tumeiona walivyowashinda wengi katika bunge lililopita, mpaka mwenyekiti akaweka mpira kwapani mwisho akakubali wao wengi wameboronga na kurekebisha mapungufu yao, wako wengi lakini wengi ziro brain eg. TFF kirefu chake ni nini? Mh. waziri aliyoporomosha ni aibu kwa jimbo lake.
Wamepya sana.bavicha wamejifungia juzi kupanga namna ya kuleta fujo mitaani,bungeni wamefeli.Lowassa kasema atakaeleta fyoko za kuandamana atamfukuza chamani,,ndio mana mpaka leo ziiiHivyo hivyo 70 vinaonekana kuwa na nguvu kuliko 290 !!
Unafanya vizuri unapojipa moyo kamanda chama kimeshauzwa 2020 lowasaa anaweka makada wake aliotoka nao chademaWatanzania walio wengi bado manyumbu hayajui nn kinaendelea duniani. Angalia miji mikubwa kama upinzani haina nguvu. Ukweli ni kwamba vijijini wakishtuka ccm itakufa. Ndio maana wanadumaza elimu huko ili waendelee kutawala. Ila si haba maana mdogo mdogo. 2020 kutakua na viti 100 vya upinzani
lema anasubiri tuzo ya kimataifa kwa kuipigania amani ya Zanzibar .Tathmini hiyo imefanywa na nani? Ndio mana mmelalamika spika ameteua wasio na uwezo,,kumbe pia hata hao 70 asilimia kubwa ni vilaza,na hao tano bora yako ni hawa:-kubenea,sugu,professor J,mke wa kafulila na lema ndio vichwa vyenu hivyo
Hii ndio faida mojawapo ya kuwa na upinzani wenye nguvu
Ni kama ile aliopewa Lowassa DRC na makanisa 900 dunianilema anasubiri tuzo ya kimataifa kwa kuipigania amani ya Zanzibar .
Mbona kila siku nyie ni utabiri tuu wa mambo ya baadae badala ya kuzungumzia uhalisia? Dar ndio hiyo imeondoka, sasa hivi hakuna tena kutozwa hela barua za Mwenyekiti wa mtaa. Yaani mabadiliko hata muuza vitumbua mtaani kayaona.Unafanya vizuri unapojipa moyo kamanda chama kimeshauzwa 2020 lowasaa anaweka makada wake aliotoka nao chadema