Moderator, kwa nini mnazuia maoni ya watu? Mtu analeta hoja za kitoto, anarekebishwa nyie mnazuia---mnazuia kumfurahisha nani? Haya maoni yangu yana ubaya gani?
Eti kataa CCM upate maendeleo. Hizi
ni pumba tupu!
Watu kama mmekosa uwezo wa
kujenga hoja muwe mnakaa kimya tu!
Unaposema kataa CCM upate
maendeleo unapaswa ujiridhishe
kwanza kwa kufanya utafiti sio
unakuja na maneno ya vijiweni.
Kwa ufupi tu kama hujui kuna mikoa
ambayo wameikataa CCM tangu
zamani. Mikoa hiyo ambayo pamoja
na kuikataa kwao CCM, lakini
maendeleo kwao imekuwa hadithi. Leo
watu hawa unaweza kuwashawishi kwamba kataa CCM upate maendeleo?
Hapa tatizo sio kataa CCM upate
maendeleo, tatizo ni kupata viongozi
wazalendo wanaojua majukumu yao.