Hatua ya kwanza ni hii, ya kusafisha vikwazo binadamu, hatua ya pili itakua kutatua changamoto na hatua ya tatu itakua kupeleka maendeleo, kwa mpango mkakati huo nadhani kila sekta hata ya kilimo itafikiwa, unaweza kuona kama kila jambo linafanyika dar ila kutokana na jiografia yetu ofisi nyingi za serikali na biashara zipo katika mji huo, ambapo hata wafanya maamuzi wengi wapo hapa, hapa pakiwa sawa hata huko pia mtakua salama, mfano, anayehusika na ununuzi na usambazaji wa mbolea yupo hapa dar, hivyo magu anadeal na hao watu ambao kiuhalisia wapo dar ila inaonekana anashughulika na dar peke yake hapana, bali anatatua kero za wote ambazo chimbuko lake ni hapa dar.