gsu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 3,461
- 712
Baada ya magufuli atafuata makonda maana mda huo atakuwa kaiva kweli.yani ata afanye nini.me siikubali ccm kabisa.maana jpm atapita atakuja nani
Baada ya magufuli atafuata makonda maana mda huo atakuwa kaiva kweli.yani ata afanye nini.me siikubali ccm kabisa.maana jpm atapita atakuja nani
waliikataa CCM kwakuwa huko ndiko kuna mafisadi wengi. waliamini kumchagua fisadi luwasa ingewasaidia kuendeleza ufisadi wao
Babu yangu alikuwa na kausemi kake kwamba unaniangalia lakini hunioni... Sasa wewe ingawa umesoma hii post na kuijibu ukweli ni kwamba hujaelewa.Viti 70 kati ya 290 ndio upinzani wenye nguvu?Mtaishia kutoka tu bungeni hakuna upinzani kuna wapiga kelele tu
Hiyo ni collateral damage, ndio maana nimesema Uzi huu hatupimi viwango vya utendaji wake Bali jamii kwa ujumla wake inafaidikaje.Lakini machungu ni makubwa zaidi ya hayo unayo sema...
wamevunjiwa nyumba
wamefukuzwa kazi kibao na makampuni yanakufa
hakuna tamaa ya kuongezeka ajira ila zinapungua
maisha bado ya ghali na yanapanda
he unahakika haujakurupuka usingizini wewe UKAWA walikuwa Mhimbili na Magufuli ? walikuwa ikulu kuomba pesa za Uhuru zijenge barabara ya mwenge. he he amakweli ukipenda chongo unaita kengeza. Haya bwana hungera Ukawa kwa wadi mpya ya wazazi na barabara ya mwenge to town.hakuna kipindi nilicho wakubali wana dar es salaam kama kipindi hiki kama jiji kama kaka mkubwa naamini ataonyesha njia nadhani safari ya ccm kiama chake kitaanzia dar baada ya kufika 2020 nakupewa tathimini ya maendeleo makubwa yaliyofanyika Dar chini ya usimamizi wa UKAWA..!!viva Ngoyai
Subiri kipindi cha kampeni basi mbona bado watasahau umewahi sana. Maana kile chakula walichopelekewa ni UKAWA wamewapa he he1. Fedha ya sherehe ya Wabunge ilipelekwa Muhimbilo, Dar.
2. Fedha ya Uhuru day ilipelekwa kujenga barabara ya Dar.
3. CT- Scan ilitolewa Dodoma na kupelekwa Muhimbili, Dar.
4. Mawaziri na makatibu wakuu walikatwa Mishahara na kupelekwa kujenga shule Dar.
5. Naibu Waziri wa Tamisemi alilizwa na matatizo ya Shule ya Uhuru ya Dar.
List goes on!
+Ndugu zangu wa Dodoma na kiherehere chenu cha Kuchagua CCM.
+ Mwanza Hosp ya Rufaa wanalala wagonjwa wa 4 ktk kitanda kimoja.
+Morogoro zaidi ya Wanafunzi 1500 wanakaa chini kwa kukosa Madawati.
NB:
Kilimanjaro hata msipotukumbuka hatutajuta kwakuwa tunajua sisi na CCM ni maadui....
Hii ni serikali ya Dar
Kwa uelewa wakoNdo faida ya upinzani, KWA SPIDI HII UPINZANI HUU WA CHADEMA WATAENDELEA DAIMA KUWA WAPINZANI.
Kazi yao ni kuisimamia serikali ya sisiemu bungeni.
Mkuu stroke pamoja na kuwa na makazi Dar lakini siishi huko kwa muda mrefu naishi mikoani kwa ajili ya shughuli.Unavyotaka ieleweke ila haiko hivyo kama unavyofikiri na kuandika hapa, kupanga ni kuchagua maendeleo yatafika kwa watanzania wote kwa wakati, hata huko mikoani shughuli za mendeleo zinaendelea kufanyika kama kawaida, tembea mkuu ujionee mwenyewe sio kukaa dar tu na kutoa maoni yako kulingana na unayoyaona yakitendeka dar, media nyingi ziko stationed dar na kidogo sana huko mikoani, hivyo kuripoti yanayofanyika dar tu haimaanishi kwamba huko mikoani hakuna yanayofanyika.
Subiri kipindi cha kampeni basi mbona bado watasahau umewahi sana. Maana kile chakula walichopelekewa ni UKAWA wamewapa he he