Una plan/mindset nzuri sana lakin inaonesha huna elimu ya maisha nje ya ajira, unaweka vitu in easy regularity kuwa "kama ntatengeneza milion2"Naweza kuacha ajira na kwenda kuendelea na biashara endapo nitatengeneza kipato cha minimum 2M kwa mwezi nje na ajira na sikipato tu bali kinachotokana na biashara inayoeleweka (sustainable) unaiwezo wakufanyika bila uwepo wangu, uwamuzi wa kuDrop chuo kisa Mgahawa then ndio startup ni bad plan.
Portfolio | 2020
Am bringing back to the community wewe endelea kuwatoza wagonjwa..( mimi nasaidia wazima wasio wagonjwa, wewe unatoza ela wagonjwa).Yeah degree inanipa confidence , pesa , heshima , nk nk.. endelea kukopesha watu huko[emoji23][emoji23]
Ungeweza kusoma na hii biashara ya kukopesha ukaendelea nayo,au ulikula DISCO?nmedrop nmejiajri nakopesha wanachuo wanalipa kwa riba ya 30% kwa mwezi
Serikali yako uliyoichagua ndio inatoza wagonjwa ... mimi nafanya kazi niliyosomea na mwisho wa siku napata kinachostahili kulingana na kazi niliyoifanya..Am bringing back to the community wewe endelea kuwatoza wagonjwa..( mimi nasaidia wazima wasio wagonjwa, wewe unatoza ela wagonjwa).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kazi kama hiyo yako utakuta mtu anakunywaga pombe tu alaf ni daktar kumbe ni hela alizotoza wagonjwa, nooves in self economy kwakuwa hela umeiba tena umeiba kwa asiejiweza) ...msomiAm bringing back to the community wewe endelea kuwatoza wagonjwa..( mimi nasaidia wazima wasio wagonjwa, wewe unatoza ela wagonjwa).
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisome kwa ajili gani? Yaani nifanye kitu ambacho nmegundua hakina tija ili wewe uridhike??Ungeweza kusoma na hii biashara ya kukopesha ukaendelea nayo,au ulikula DISCO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kwa nyie mnaopenda vitu used vinauzwa pia Kama TV,monitor, simu na vitu vingine vya majumbani, unanunua kwa cash na kwa mkopo,Nisome kwa ajili gani? Yaani nifanye kitu ambacho nmegundua hakina tija ili wewe uridhike??
Karibu mkopo sasa riba imepungua hadi 20%/month>> pia unaweza kopa adi million 10 kama una vigezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawajua sana nyie madaktari, acha ninyamaze.Serikali yako uliyoichagua ndio inatoza wagonjwa ... mimi nafanya kazi niliyosomea na mwisho wa siku napata kinachostahili kulingana na kazi niliyoifanya..
Sasa wewe unayetoza riba ya 30% unapata wapi hata hio moral authority ya kumquestion mtu mwingine kuhusu pesa[emoji23][emoji23]..
Kutofautisha Drop Out na discontinue ndo hujaweza pamoja na kusoma na kuwa na na cheti??Ungeweza kusoma na hii biashara ya kukopesha ukaendelea nayo,au ulikula DISCO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulisoma nao na hawana mbele wala nyuma? Kwanin mna defend sana kuliko kustick kwenye point. Mnaona wanaofight nje ya system kama maadui zenu kumbe ni ndugu zenu tutawashika mikono mkifulia.
Kufanikiwa au kutokufanikiwa haijalishi una cheti au hauna. Ila naona wengi wenu mnaonesha kama kusoma ndo kutoboa maisha hivi, naona umeme umezima huko ubongoni kwenu, tuwawashie solar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kuacha ajira na kwenda kuendelea na biashara endapo nitatengeneza kipato cha minimum 2M kwa mwezi nje na ajira na sikipato tu bali kinachotokana na biashara inayoeleweka (sustainable) unaiwezo wakufanyika bila uwepo wangu, uwamuzi wa kuDrop chuo kisa Mgahawa then ndio startup ni bad plan.
Portfolio | 2020
I have nothing to do, life la kitaa ni gum sana.ulivyo acha chuo ukawa unajishughulisha na nini na kwa level ipi ?
Portfolio | 2020
Nilitegemea jibu kama hilo ndio maana ukaandika kile.I have nothing to do, life la kitaa ni gum sana.
Ila Inshallah this year nategemea kurudi tena chuo (1st year) If mipango Itakaa sawa.
Sure! Sijaacha kwa kujitakia Ila ni mambo ya fedha ndio yalizingua.Nilitegemea jibu kama hilo ndio maana ukaandika kile.
Portfolio | 2020
Sure! Sijaacha kwa kujitakia Ila ni mambo ya fedha ndio yalizingua.
Sasa nashangaa mtu anayeacha chuo kwa hiari kisa eti mtaani kuna fursa.. loh! Kitaa ni hatari
kati ya Sisi wenye self/informal education na nyie wenye vyeti... Jamii Forums mobile app
[emoji406][emoji406]Futa hapo, nani ana self education.
Portfolio | 2020
Hii issue inafanyika sana hapa vyuoni watu wamesajiri hizo biashara na wanapiga hela.nmedrop nmejiajri nakopesha wanachuo wanalipa kwa riba ya 30% kwa mwezi