October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Elimu gani Formal education au Self education | hakuna mwenye pesa na asiwe na confidence akiwa na self education.Kiufupi mm mwenyew hata kama sijapata ajira baada ya kusota shule miaka mingi ,ilaa elimu muhimu Sanaaa inanipa sana maconfidence ya kufanya mambo yangu yaende .bro hakuna watu ambao hawajiamin kama ambao hawajasoma na wanahela
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo confidence inakusaidia nini kama huna kazi wala pesa? Utakula confidence?Kiufupi mm mwenyew hata kama sijapata ajira baada ya kusota shule miaka mingi ,ilaa elimu muhimu Sanaaa inanipa sana maconfidence ya kufanya mambo yangu yaende .bro hakuna watu ambao hawajiamin kama ambao hawajasoma na wanahela
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujidanganya kivipi? Niache pesa nifate cheti, mna akili au mnaongelea njaa ??Nimedrop chuo kwa sababu za kiuchumi Ila Inshallah Sir GOD akisaidia nitarudi tena kuendelea na masomo.
Siungi mkono hoja eti acha chuo nenda katafute fursa mtaani.. loh!!
Mtoa mada endelea kujidanganya Ila Ipo siku utajuta.
Hakuna ujanja zaidi ya shule labda kama kwenu mnamiliki biashra kubwa so umeacha Ili ukapige business za familia otherwise you're totally wrong.
Nakwambia soon utaja juta.
Mm naona watu hawaelewi maisha yakoje..kuna wengine wanataka elimu kama kigezo cha heshima, eti inampa confidence...uzwazwa kabisa.. Kama umesoma kweli tumia elimu yako kupata pesa uwe na maisha. Mimi niliamua kuachana na elimu ya mfumo kwakuwa niliona haifundishi kutafta pesa inafundsha namna ya kujua sehemu za panzi, je nikishajua inanisaidia nini, nmeenda chuo unashangaa kuna kozi tunaambiwa tukariri Marehemu flan alisemaje kuhus ukuaj wa mtoto, inasaidia nini,?? Nisome upuuzi ili niwe na confidence? Alaf nilie njaa??Hiyo confidence inakusaidia nini kama huna kazi wala pesa? Utakula confidence?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una sense pole na kusoma sana, hao uliowataja wapo kwa ajili yetu sisi ndo tunawapa kazi hizo.( So mwenye kusoma asome mwenye kuacha aache) by the way why nyie watu mliofanikiwa kumaliza shule tu, mnakuwa na kinyongo flan na ambao hawajamaliza na wana hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wenzio wanasema wakiwa na cheti kile wametunukiwa ndo wanaconfidence, mm nahis ukijua kutafta ela ukaishi nyumba ya ndoto zako na kufanya vitu ambavyo hao walioenda shule ndefu wanaona ndoto kwako ndo confidence.Elimu gani Formal education au Self education | hakuna mwenye pesa na asiwe na confidence akiwa na self education.
Portfolio | 2020
Mm naona watu hawaelewi maisha yakoje..kuna wengine wanataka elimu kama kigezo cha heshima, eti inampa confidence...uzwazwa kabisa.. Kama umesoma kweli tumia elimu yako kupata pesa uwe na maisha. Mimi niliamua kuachana na elimu ya mfumo kwakuwa niliona haifundishi kutafta pesa inafundsha namna ya kujua sehemu za panzi, je nikishajua inanisaidia nini, nmeenda chuo unashangaa kuna kozi tunaambiwa tukariri Marehemu flan alisemaje kuhus ukuaj wa mtoto, inasaidia nini,?? Nisome upuuzi ili niwe na confidence? Alaf nilie njaa??
BIG NONSENSE...
nmependa ulivyomweleza kijana hajielew bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna sehem nimekataza watu kusoma??? Na kupat vyeti?? Hapa tumeita wale tulioachana na mfumo huo mnaouabudu na kuamua kufanya mambo yetu, yaan tumetafta direct X ambayo huwa mnatafta nyie kwa mafumbo ya vyeti na ajira.Ndio maana nimekwambia unafikiria kwenye kisogo chako
Wewe unaejitia hujasoma unasubiria wasomi ili uwaajiri,kama hawapo?
Utaajiri mavi?
mm slipwi mwisho wa mwezi kama nyie.Mkuu kwa mwezi unaingiza Tzs ngapi ?
Portfolio | 2020
Wapi nilipouliza unalipwa shingapi, unanilazimisha kuamini kuwa elimu muhimu sasa jibu nikivyouliza.
Monthly incomes ni kwenu nyie huo, unataka kujibiwa ili usisimuke hadi vinyweleo sio??Wapi nilipouliza unalipwa shingapi, unanilazimisha kuamini kuwa elimu muhimu sasa jibu nikivyouliza.
Portfolio | 2020
Ungebadili kidogo styl ya swal lako ukaondoa mambo ya kwa mwezi, ungeweza kupata jibuWapi nilipouliza unalipwa shingapi, unanilazimisha kuamini kuwa elimu muhimu sasa jibu nikivyouliza.
Portfolio | 2020
Sasa naona bora ungebaki shule tu maana mweupe kichwani.Monthly incomes ni kwenu nyie huo, unataka kujibiwa ili usisimuke hadi vinyweleo sio??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata ungekuwa unalipwa kwa sekunde lakini huwezi ku-undermine suala la Academic ht kidogo,Matajiri wengi wanawatumia Academicians kuwa consult kwenye project zao ili ziende na wanawalipa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa naona bora ungebaki shule tu maana mweupe kichwani.
Portfolio | 2020
Income inapigiwa kwa siku, mwezi na mwaka | uwe umejiajiri au kuajiliwa kwasiku unaingiza kadhaa na mwezi kadhaa, mwalimu anayelipwa 600K kwa mwezi ni ukuuliza kwasiku unaingiza Tzs ngapi jibu ni 20,000/= haijalishi analipwa kwa mwezi.Ungebadili kidogo styl ya swal lako ukaondoa mambo ya kwa mwezi, ungeweza kupata jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwaza kwa kutumia minyoo. Sijapinga wanaosoma na kutusaidia kazi mbali mbali nmepinga nyie mnaoona kuwa na cheti ni confidence na right track.Wewe hata ungekuwa unalipwa kwa sekunde lakini huwezi ku-undermine suala la Academic ht kidogo,Matajiri wengi wanawatumia Academicians kuwa consult kwenye project zao ili ziende na wanawalipa.
Akili huna, hata unachojibu hueleweki umesimamia wapiAcha kuwaza kwa kutumia minyoo. Sijapinga wanaosoma na kutusaidia kazi mbali mbali nmepinga nyie mnaoona kuwa na cheti ni confidence na right track.
Msisahau uzi huu ni kwa ajili ya wale walioacha chuo kwa hiyari na kuamua kupambana na ishu zao binafsi sio mashindano kati yenu huko na sisi tunakuenjoy life.
Kwa uelewa wenu mdogo mmebadili uzi na kwa ligi. Damn
Sent using Jamii Forums mobile app