Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,179
- 34,432
- Thread starter
- #81
mnhhhh..mleta mada umeleta hoja ... mie pia huwa sipendi hata kusikia hawa vijana wetu na vijisuruali vya dada zao na wanavivaa chini ya makalio kiasi kwamba najikuta nikiona aibu kama mwanaume...MTOTO WA KIUME LAZMA UWE BOLD AS A REAL MAN N NOT A GIRLISH MAN....KUACHA VIFUA WAZI NA MBWEMBWE ZINGINE NADHANI NI SUBJECT YA KUWATEGA MABINTI...MAANA NA NYIE NAO MNAJIFANYA KUPENDA WANAUME WALOJENGEKA MISULI MNATUITA 6-PACK MEN..
vijana woote kipindi cha nyuma tulijazana gym kujenga vifua kuvutia warembo....sasa kama mtu kifua hana na bado kaacha wazi na hasa maeneo ya dar inawezekana ni kwa joto hili linalosumbua la 38 deg of celcius.
tu t.a.k.o twenyewe kama buns