Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Akyanani umenikumbusha mbali ...... yolanda..... Lakini wakati huo tulikuwa tunaonekana wa maana saanaaaa.... Anyway nikabadili na nikaanza kutumia COBRA.....

Shati la eagle na jeans za lee west made from tz.Ukifua mguu mmojaunakuwa mfupi au unabana zaidi.
 
Na cheni ya bati!imeliwa na kutu! hadi basi yumo tu nivitu vingi mtu kama mwanaume unashushwa thamani kwa sababu za kutojua au ujinga basi mtu umevaa vizuri unakuja kumalizia na kacheni ka dhaabu kadunchu kama kamtoto!kakidemu au umeuramba lakini umevaa skuna kama yawale waimbaji wa rose mhando!!chines type au umevaa mkanda wa suruali ni plasitic na umechakaa upande wa baiklos sasa nini hiyo au suruali ya kitambaa ina marindakama sketi ya wanafunzi wa meta!!

you made my day
 
Hahaaaaa how about u, do u take u a time to look u a self and make recomendation. Just try b 4 make criticisim
I hate this type of nonsense writing, very much so, especially when posted by a man.
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Alafu na nyie wadada mnakera kweli na hivyo vijeans vyenu vyakubana (eneo la soksi) inakua kama umevaa mfuko wa kukamulia machicha.....na kofia zenu za nyuzinyuzi na matundu hovyo kabisa.
 
Alafu na nyie wadada mnakera kweli na hivyo vijeans vyenu vyakubana (eneo la soksi) inakua kama umevaa mfuko wa kukamulia machicha.....na kofia zenu za nyuzinyuzi na matundu hovyo kabisa.

haya chomoa suruali kwenye soksi fasta! Na next time ukivaa raba tinga na jeans na sio suruali ya kitambaa.
 
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?

Karucee fafanua zaidi kwwnye not dressing according to age, naona unapiga nusunusu tu?
 
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?

kweli kabisa umenena
 
Back
Top Bottom