yap, umesema vema cynic, kama punjab anazovaaga balotelli haimaanishi hana pesa ya kununua nguo nyingine, kuna wengine kuvaa vituko wanapenda au wanafanya makusudi kuvuta macho ya watu kwao, kama kwenye music awards usa wengi huvaa tofauti kuvuta macho kwao kama lady gaga anavyovaaga.
are you making it easier to strip? 😉
dah! afadhali mkuu umesema hapo kwenye namba 9.No 9 Umetuonea kwa kweli lol
No 9 Umetuonea kwa kweli lol
Na hawa macelebrity wa kibongo unawaonaje na uvaaji huu kwani hawa kwa sasa ndiyo kioo cha jamii yetu ya kibongo.
Mkuu mada yangu inahusu watu wa kawaida tu.
Kwa maana hiyo diamond si mtu wa kawaida?
Mwanaume akivaa vest looks more smart...Hawa bana, wao wanavaa nguo nusu uchi kusingizia joto halafu wanataka tuvae vest ndani kwani na sisi hatusikii joto au...
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?
Hapo kwenye namba 1 kuna vijana wa kiume wanachefua kweli siku hizi yaani unakuta amevaa kijisuruali cha bright pink au shiny orange(ambacho sio size yake na kapo chini ya makalio) halafu juu kafulana ka 'Iron Maiden' kamembana na chini ana vijiraba vya mtoto mdogo.
Kichwani kaweka wave kaliii au kasuka cornrows.Masikioni ana hereni moja,mdomoni lipshine sijui lipgloss hata sitamani kuangalia mara mbili plus kifuani ana cheni za kuazima na kapelo imeandikwa YMCMB.
Sasa huwa najiuliaza hivi huo ndio utanashati au akili za watu zimeanza kuoza kidogo-kidogo.Inatia huruma sana kuona kijana wa kiume akipoteza his identity as a man.