Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Sasa hata akiwa ni mvaaji safi na mpangiliaji mzuri wa viwalo,kama hakupigi mshine fresh ni bure tuh,,

mwanaume hasifiwi kuvaa,mwanaume anasifiwa kuweka pesa bank,kuhonga na kum--kaza fresh mwanamke
 
Haaaahaaa..,.!!!

je wanaosuka..!'? Na kuvaa hereni...!!!??
 
tu t.a.k.o twenyewe kama buns

Ha ha ha haa umenichekesha Karucee i see, unamkuta mvulana kavaa suruali mapajani, boxer ya ndani haijulikani rangi yake, kiatu cha ajabua ajabu afu ju katupia kaflana alafu micheni kibaaaooo. AAHHGGRRRR
 
Last edited by a moderator:
Na wale wasiovaa saa kabisa!! Eti zee zima anaangalia saa kwa kutumia simu!! Kudadeki!! Yaani wewe ni kichwa cha nyumba utaongozaje!!!?? Kweli nikiona kijana kaingia ofisini kwangu au say mwanaume wa age yangu nikicheck mkono hana saa basi najua ni bogasi tu hata nikimpa kazi hawezi kuwa time keeper!! Tupa kando!
 
Sasa hata akiwa ni mvaaji safi na mpangiliaji mzuri wa viwalo,kama hakupigi mshine fresh ni bure tuh,,

mwanaume hasifiwi kuvaa,mwanaume anasifiwa kuweka pesa bank,kuhonga na kum--kaza fresh mwanamke

mbona unajitetea wewe.au umeguswa.mtoa uzi you made my day
 
pandisha suruali, usivae chini ya makalio boss wangu. Na hilo likofia kama helmet vua fasta!

karucee nimekupenda ghafla.leo nmeshnda nmenuna ila nmecheka sana baada ya kupitia uzi wako.kip it up.mwaaah
 
KAM UNACHUKIA SURUALI ZA KUBANA a.k.a MODO BASI JIFUNGIE NDANI KWAKO,MAANA NA HIZI LIKIZO KILA KONA UTAKUTANA NAZO
 
Duh hii kali, ila umenikumbusha jambo moja muhimu sana
Na wale wasiovaa saa kabisa!! Eti zee zima anaangalia saa kwa kutumia simu!! Kudadeki!! Yaani wewe ni kichwa cha nyumba utaongozaje!!!?? Kweli nikiona kijana kaingia ofisini kwangu au say mwanaume wa age yangu nikicheck mkono hana saa basi najua ni bogasi tu hata nikimpa kazi hawezi kuwa time keeper!! Tupa kando!
 
mie sipendi wanawake wenye nywele za bandia,nahisi wewe ni mmoja wao
 
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?

Hii ni nchi huru kabisa haina,
Kila mtu anafanya anachofikiri kitampa furaha,
Hatufanyi vitu qa ajili ya wengine bali wenyewe.
Tunaipa roho kitu inapenda.
Wacha watu wafurahiye maisha yao Bana.

Bazazi!
 
Back
Top Bottom