Maombi yanahitajika, mtumishi wa Mungu Joseph Gwajima tafadhari sana ongea na mke wa daktari huyu, moyo umesononeka sana lakini Mungu ana makusudi na Tanzania, this is a very trying moment to chadema.
Alikuwa kajiandaa kuchukua nchi sasa amezinguliwa kwann asiondoke
Nawaaambia, ijumaa ya kesho haitapita bila kukubaliana na mimi. Dk. Slaa anajiengua.
Nawaaambia, ijumaa ya kesho haitapita bila kukubaliana na mimi. Dk. Slaa anajiengua.
KAULI MBIU NI MADILIKO TU, ATA HUYO Dr. SLAA AONDOKE AU ABAKI.
INA MAANA YEYE ATAIBADILISHA HII NCHI? CCM IMEJAA Maprofesa ila ni Madudu tu vyachwani mwao.
TUKO PALE PALE MAGEUZI MBELE.
Maombi yanahitajika, mtumishi wa Mungu Joseph Gwajima tafadhari sana ongea na mke wa daktari huyu, moyo umesononeka sana lakini Mungu ana makusudi na Tanzania, this is a very trying moment to chadema.
Dr Slaa yupo, haondoki chadema, yupo na ataendelea kuwepo daima.
Sasa usiku huu anakwenda kumkabidhi nani hivyo vitu? Kwanini asiende mchana? Au anakwenda kuvitelekeza hivyo vitu maana ofisi zitakuwa zimefungwa.Hebu jipange basi mleta maada!
Km tukio linafanyika kesho haraka ya nini mkuu!? Hapa si umejitafutia ban ya bure! Hivi hata kwa akili ya kawaida tu ya darasa la 7,dr.slaa anaweza kufanya wenda wazimu km huu!!?Nawaaambia, ijumaa ya kesho haitapita bila kukubaliana na mimi. Dk. Slaa anajiengua.
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. Slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa CHADEMA. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: Mimi mwenyewe.