Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Maombi yanahitajika, mtumishi wa Mungu Joseph Gwajima tafadhari sana ongea na mke wa daktari huyu, moyo umesononeka sana lakini Mungu ana makusudi na Tanzania, this is a very trying moment to chadema.
Likitokea hili MBOWE ana kesi ya kujibu
Watu wamekufa kwa ajili ya chadema yeye anakuja kuiua kwa siku moja just for Lowasa