Mtu aitwae #Manyerere Jackton ameandika mambo yasiyofanana na chembe ya ukweli kuhusu KM Dk. Slaa.
Bado tuko Ofisini. Kazi zinaendelea.
Hicho alichokiandika labda kama kinatokea kwenye ofisi ya chama kingine anachokijua Manyerere na kwa mtu mwingine tofauti na Dk. Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Nimuombe Jackton Manyerere, mpiganaji ambaye anapaswa kuwa na heshima yake kwenye tasnia ya habari afanye atimize wajibu wa kitaaluma katika kukusanya na kupasha habari badala ya uzushi na maneno haya yasiyo ya kweli.
Labda kama wameanza tena kufanya Kazi ile ile waliyokuwa mwaka 2010 ambako walimzushia Katibu Mkuu Dk. Slaa kila aina ya uzushi ambao Watanzania waliukataa.
Habari hizi za kuzusha na kutengeneza ndizo zilizotumika pia katika kampeni za mwaka 2005 ambapo hawa wanaozizusha leo mitandaoni walikuwa ndiyo timu ya utawala huu ulioshindwa. Wakimpamba mfalme kuwa amevaa nguo wakati yu mtupu. Kwa kila mapambo kuficha uvundo uliokuwa ndani ambao hatimaye leo unanuka (kushindwa) kila mahali.
Makene
Kama alitoa notice ya mwezi mmoja alistahili mafao yote hayo. Ingeshangazwa kama angeendelea kupata vitu hivyo katika mwezi wa September.Hongera sana.
Labda sasa unaweza kufanyia kazi baadhi ya facts hapo juu (gari,nyumba,cheo-mshahara) maana tumemsikia Mwanasheria wa CDM akisema Dr Slaa amepokea mshahara (wa August?) wakati aliachia cheo 30 July 2015, bado anaishi kwenye nyumba ya chama, bado anatumia nyumba ya chama. Ni muhimu sana kupata ushahidi wa mambo haya ili ukweli ujitenge vizuri.
Manaweza kutafiti pia, kiutaratibu katibu (wa CDM) anapoamua kujiuzulu anamwandikia barua au kumjulisha nani? Na hivyo vitu (magari nk) vinapaswa kukabidhiwa kwa nani?
Mm binafsi sikuombi radhi!
Uliandika kimbeya mno, utadhani ulikuwa una wania tuzo!
Ulisema siku ile, almost a month now na ukasema Kakabidhi ufunguo wa gari na walinzi! Hadi Juzi tarehe 31 August, 2015, Dr. Slaa kalamba Mshahara wa July na August, na alikuwa bado na gari la Chama la Katibu mkuu na Ulinzi wa Chama! Kati yetu na ww nani Muongo hapa?
Musiwe Waandishi wa Kij.inga kijing.a eti flani katapa matatizo sasa ww huweki Ma.kalio chini ni kusherekea matatizo ya Mwenzio! Unafiki hautakiwi!
Haya ulipewa tuzo kwa kuwa mtu wa kwanza kupost hizo rumours?
Hongera sana.
Labda sasa unaweza kufanyia kazi baadhi ya facts hapo juu (gari,nyumba,cheo-mshahara) maana tumemsikia Mwanasheria wa CDM akisema Dr Slaa amepokea mshahara (wa August?) wakati aliachia cheo 30 July 2015, bado anaishi kwenye nyumba ya chama, bado anatumia nyumba ya chama. Ni muhimu sana kupata ushahidi wa mambo haya ili ukweli ujitenge vizuri.
Manaweza kutafiti pia, kiutaratibu katibu (wa CDM) anapoamua kujiuzulu anamwandikia barua au kumjulisha nani? Na hivyo vitu (magari nk) vinapaswa kukabidhiwa kwa nani?
Makene rudi ukanushe hii post.
Aibu juu ya aibu.
Chama chenye watu wa aina hii kinawezaje kuaminika?
Bosi wako Mbowe aliapia kwa kusema "over my dead body" kuwa hawezi kumpokea Lowassa kuingia Chadema. Haikupita muda mrefu kampokea.
Wewe umekanusha kwa kejeli habari hii ya ukweli aliyopost Manyerere hapa, leo ukweli umedhihiri, umeumbuka ndani nje!
Aibu aibu. HAMUAMINIKI.
mbona alisema alivyoongezeka mtu wa pili pale bungeni chamber alitoka mbio?.Yap yap...huyo ndio mwanaume
Hii taarifa uliyoileta ilikuwa ni UTABIRIMtakumbuka nilileta uzi hapa ikimhusu dk. Slaa kuondoka chadema. Nikatukanwa sana. Mekene akadiriki kuniitwa mtu anayeitwa manyerere... kana kwamba hanijui. Sasa wote mlionishambulia kwa matusi na kejeli naomba muwe waungwana. Mniombe radhi. Siku nyingine nikileta taarifa nyeti za aina hiyo muwe na heshima na mchangie kwa staha.
Manyerere Jackton kakuumbueni enyi wanafiki wote. Ukweli umedhihiri, aibu imewakaeni. Kuomba radhi ni uungwanaHii taarifa uliyoileta ilikuwa ni UTABIRI
sina uhakika kama ulikutana na Dr Slaa
ninachomlaumu Makene ni mara nyingi amekuwa mseamaji wa CHADEMA, Mbowe UKAWA na hata Lowassa
angekuwa anaangalia na upepo sio ushabiki tu wa mpira (sisi Bila wao bao tatu 0-3 na wala hawajui kucheza)
Mheshimiwa tafakari unapoandika. Kwanza tungeuliza alitoa notice ya siku ngapi ya kujiuzulu? Kama ni 24 hours, hiyo ajira inakoma hapohapo na kwa taratibu za sheria za kazi alipaswa kukilipa chama mshahara wa mwezi mmoja na kurudisha mali zote za chama siku ileile ya 30 July. Kama alitoa notice ya mwezi, inamaana ajira yake ingekoma 31 August, na inamstahilisha mshahara na marupurupu yote yanayohusika kwa mwezi August.
Ukitoa notice ya mwezi unabaki kuwa mwajiliwa kwa mwezi huo wa notice. Kwa maelezo ya mleta mada na hata ya Dr mwenyewe jana, it does appear to me that ilikuwa ni immediate (probably a 24hrs notice!)Kama alitoa notice ya mwezi mmoja alistahili mafao yote hayo. Ingeshangazwa kama angeendelea kupata vitu hivyo katika mwezi wa September.
Nina akili timamu kabisa. Nina tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi. Amini nilichoposti hapa.
so Manyerere Jackton was right after all....
Nadhani naweza kuchangia hekari kadhaa kama ataniahidi anaenda kulimia mihogo na maharage
Kakuumbua wewe usiyetaka kumuomba radhiManyerere Jackton kakuumbueni enyi wanafiki wote. Ukweli umedhihiri, aibu imewakaeni. Kuomba radhi ni uungwana
No,
He was totally WRONG.
Gari halikurudishwa,
Walinzi hawakurudishwa,
Nyumba haikurudishwa,
Na hata mshahara haukurudishwa.
Labda pengine kadi tu ndio iliyorudishwa