samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,607
- 4,817
Josephine anaweza kuhama.... siyo Dr. Slaa
Mzee hana sauti kwa josephine?
Josephine anaweza kuhama.... siyo Dr. Slaa
Na wewe umeanza kuwa muhuni au mabange umeanza kuvuta
Thamani ya Dr. Slaa ni zaidi ya elimu yake au vyeo alivyokuwa navyo. Hajakashifu mtu. Mpe heshima yake hata kama anaondoka. Tujifunze kutambua na kuheshimu watu wa maana hata kama maamuzi yao mengine yatatupa taabu. Na bado hatujaujua ukweli wenyewe.
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. Slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa CHADEMA. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: Mimi mwenyewe.
kwa jinsi ninavyomfahamu Dr Slaa kamwe hawezi kuchukua hatua za kuondoka Chadema eti kwa sababu hatagombea Urais
acheni kumpakazia hasa wewe Manyerere Jackton wewe ni mtu usiye eleweka misimamo yako,kaa mbali na process zote zinazoendelea kwenye nchi yetu hufai hata kidogo kuwa mtoa taarifa za muhimu
Dr Slaa siyo mtu mjinga kiasi hicho ni mtu smart nimekuwa naye karibu kwa muda mrefu na namwamini sana
Jf habari zenu sio za kuaminika jana mlisema ilyepigwa na Ndungai kafariki leo Dr Slaa anaondoka,hizi habari za kizushi za ccm