Mkuu rais wa mioyo yetu anaenda wapi tena.
Teh Teh teh
Sasa hivi sina muda wa kubembeleza mtu, anayetaka kuondoka na aondoke salama. Namchukia sana mtu anayetaka kuyasaidia ma-ccm kubaki madarakani. Tunayo kazi moja tu, nayo ni ya kumng'oa mkoloni mweusi!!Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. Slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa CHADEMA. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: Mimi mwenyewe.
Kwani Dr. Silaa si bado ana nafasi ya kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuchaguliwa. Hoja ya yeye kuondoka mbona haina msingi. hadi leo Dr. Silaa alikuwa amechukua fomu ya kugombea uraisi?
Weka updates uhukumiwe mkuu!
Sasa hivi sina muda wa kubembeleza mtu, anayetaka kuondoka na aondoke salama. Namchukia sana mtu anayetaka kuyasaidia ma-ccm kubaki madarakani. Tunayo kazi moja tu, nayo ni ya kumng'oa mkoloni mweusi!!
kinacho nifurahisha ni kuona wale wanaojifanya kumpenda na kumtetea kinafki Dokta Slaa ni yale mafisi yanayomkashifu humu kila siku!
Nawaaambia, ijumaa ya kesho haitapita bila kukubaliana na mimi. Dk. Slaa anajiengua.
Dr slaa akiondoka CHADEMA hakukuwa na haja ya Lowasa kuja then....unakuwa umepoteza mtu muhimu kwa mgeni wa siku moja
Dr slaa akiondoka CHADEMA hakukuwa na haja ya Lowasa kuja then....unakuwa umepoteza mtu muhimu kwa mgeni wa siku moja
Nawaaambia, ijumaa ya kesho haitapita bila kukubaliana na mimi. Dk. Slaa anajiengua.
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. Slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa CHADEMA. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.
Chanzo: Mimi mwenyewe.
nashawishika maana jamaa hajatokea hata leo pale Rais wa awamu ya 5 Lowasa anapochukua fomu.
ila tulimpenda japo binafsi naamini nguvu ya lowasa ni kubwa kuliko yake kwenye kugombea urais. yan mafanikio yapo karibu zaidi kwa lowasa kuliko kwa silaa na hata tafiti mbali mbali zilionyesha hivyo..Silaa ni mtu makin na akiondoka ji pigo pia ila ni bora akaondoka maana mtaji wa lowasa ni mkubwa kuliko wake.
namheshimu na ningependa abaki lakina kama hawezi hatuna jinsi ukweli ni kuwa tunadhamini mchango wake katika kujenga upinzani wa kweli lakini kwa kuwa inatakiwa itumike njia yoyote ile ili kuhakikisha ccm inaondoka madarakani na lowasa ni mtu sahihi zaid ya Silaa.