Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Alikuwa kajiandaa kuchukua nchi sasa amezinguliwa kwann asiondoke
 
Nina akili timamu kabisa. Nina tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi. Amini nilichoposti hapa.

Mkuu Manyerere, hadhi yako katika uandishi haihojiwi. Kwa undani unaouonyesha hapa, basi ongezea kidogo dodoso la sababu hasa zinazomuondoa/inayomuondoa Dr. CHADEMA wakati huu. Unaweza pia kwenda mbele zaidi na kutugusia anaelekea wapi? Hivyo ndivyo vitu vya maana sana kwetu tunaoguswa na Dr. na chama alichokitumikia kwa kujitoa mno ili kututafutia mabadiliko muhimu.
 
Huo usiku haufiki tu maana nipo maeneo ya makao makuu ya Chadema hapa..!!!
 
ina maana Pasco,alivyosema either you are with us or the enemy-alimaanisha haya? Anyway stage tuliofikia haiwezekani mtu mmoja ai derail-kama anaondoka all the best-The reality ni ufunguo wa ikulu kwa opposition anao Lowassa tusijidanganye otherwise
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo akuna mwenye namba za dr slaa ili ampigie make mnajenga hofu sana, kwenye mapambano kuna mengi sana
 
UKAWA is done

CHADEMA is done

Game over...

CCM mko vizuri

Haya...nalala
 
KAULI MBIU NI MADILIKO TU, ATA HUYO Dr. SLAA AONDOKE AU ABAKI.

INA MAANA YEYE ATAIBADILISHA HII NCHI? CCM IMEJAA Maprofesa ila ni Madudu tu vyachwani mwao.

TUKO PALE PALE MAGEUZI MBELE.
 
Tumesikia mengi sana,naomba tubaki kwenye ukweli kuwa Slaa bado yupo Chadema hadi hapo atakapotuthibitishia mwenyewe.
 
Siwezi kuvumilia kumpoteza Slaa sababu ya Lowasa.....Lowasa hawezi kushinda bila Slaa....

Kama Dr Slaa aliweza kuacha Upadri baada ya kuona kuna vitu haviendi sawa kwake hata hapa hawezi kushindwa kuondoka CDM ngoja tuvute subira Muda utaamua.
 
Aisee, so sad kama ni kweli. Na I have to be honest nimekata tamaa kabisa
 
ina maana Pasco,alivyosema either you are with us or the enemy-alimaanisha haya? Anyway stage tuliofikia haiwezekani mtu mmoja ai derail-kama anaondoka all the best-The reality ni ufunguo wa ikulu kwa opposition anao Lowassa tusijidanganye otherwise

Ufunguo hana bila slaa

Slaa alimchafua

Ni yeye anaweza kumsafisha....

Bila slaa lowasa is finished
 
Maombi yanahitajika, mtumishi wa Mungu Joseph Gwajima tafadhari sana ongea na mke wa daktari huyu, moyo umesononeka sana lakini Mungu ana makusudi na Tanzania, this is a very trying moment to chadema.
 
KAULI MBIU NI MADILIKO TU, ATA HUYO Dr. SLAA AONDOKE AU ABAKI.

INA MAANA YEYE ATAIBADILISHA HII NCHI? CCM IMEJAA Maprofesa ila ni Madudu tu vyachwani mwao.

TUKO PALE PALE MAGEUZI MBELE.

hujui usemacho
 
Back
Top Bottom