Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

....ndio maana nimesisitiza kwenye bandiko langu kuwa siamini bado taarifa hii....na nilichoandika ni angalizo tu kwa dr. Slaa....asifanye maamuzi ya kuacha chama wakati huu muhimu...bali ajue kuwa chama kwanza mengine baadae....Lengo wamelisisitiza wenyewe kuwa ni kuwatoa ccm madarakani kwa namna yoyote....na sasa wamempokea lowassa kama mkakati maalumu wa kuwatoa ccm madarakani....basi wasimame pamoja na wenzao wa UKAWA .....ili wafanikishe hili...Mambo mengine yaje baadae....Ningependelea sana wakati huu kuskia kuwa Dr. Slaa anakwenda kugombea ubunge Karatu....ama jimbo lolote hapa dar....maana hakika atashinda....alafu wakiwatoa ccm madarakani hawa ndio future leaders wa taifa hili....kuna nafasi lukuki wakifanikiwa.....zikiwamo uwaziri mkuu nk.....

....kuanza kuhama vyama ukiwa UKAWA ni kufifisha upinzania na kuwapa ahaueni ccm...jambo ambalo hamna mpenda mabadiliko atalielewa...

Lengo halikuwa kumtoa kenge ukamuweka mamba! Fikiria kabla hujafanya maamuzi ya kuleta mawazayako hapo
 
Ewe mwandishi uliyekuwa na Tuzo za uandishi wa habari za uchunguzi, kama lipo ulisemalo nilitegemea Mpaka sasa kuona hata dalili ya post kwenye mitandao but still kimya. Hii inadhihirisha ni kweli Dr. Anapata wakati mgumu kuchangamana na Mh. Lowassa lakini bado ni vigumu kwa yeye kuchagua kufurahisha kundi kubwa la mafisadi walioko CCM na mfumo wao kwa ajili ya yule mmoja aliyeamua kubadilika na kuchagua njia sahihi
 
Najua wapo watakaobeza na hata kutukana lakini napata ushujaa wa kuyasema haya. Dk. Slaa usiku huu anaingia makao makuu kukabidhi gari, kadi, walinzi na cheo. Anajitoa CHADEMA. Naomba uzi huu uachwe hapa hapa ili baadaye nihukumiwe kwa haki.

Chanzo: Mimi mwenyewe.
kiongozi bora ni yule ayejua msimamo wake na anaweza kusimamiya msimamo wake.
 
Nilikuwepo leo pale ufipa,pengine kutokana na watu kuwa wengi sikumuona.Dr,ila kuna picha nimeiona Dr akiwasili pale ufipa katika shughuli ya kimkabidhi Dr Fomu
Hata kama hii habari haitakuwa kweli (naamini ni kweli kwa kuwa J Manyerere ni mzee mwenzangu na huwa hasemi uongo) lakini kitu kimoja ni hakika kwa kuangalia matukio: kwamba Dr. Slaa hajafurahishwa na ujio wa EL. Haiwezekani Katibu Mkuu wa Chama asiwepo kwenye tukio la kukaribishwa EL na pia katika tukio la kuchukua Form bwna EL.
 
Hata kama hii habari haitakuwa kweli (naamini ni kweli kwa kuwa J Manyerere ni mzee mwenzangu na huwa hasemi uongo) lakini kitu kimoja ni hakika kwa kuangalia matukio: kwamba Dr. Slaa hajafurahishwa na ujio wa EL. Haiwezekani Katibu Mkuu wa Chama asiwepo kwenye tukio la kukaribishwa EL na pia katika tukio la kuchukua Form bwna EL.

Na kawaida katibu mkuu ndio anatoa fomu kumkabidhi mgombea
 
Oh my God, leo ndio unamuheshimu!! Wewe!! Wewe yule uliyekuwa ukimkashifu kila uchwao na kumuita majina lukuki ya kebehi. Na kwa Hili nitashangazwa na Dr. Kama atachagua kuwafurahisha wana CCM maana jukwaa Hili ni uthibitisho tosha ya kuwa wana CCM pekee ndio wanaosubiri kwa bashasha uamuzi kama huo kwa Dr. Mimi kama mfuasi wa Dr. Leo nasomama kidete kumshauri kama kweli hawezi kuchangamana na Lowassa Sio vibaya akachagua wakati sahihi wa kufanya hivyo ili kulinda heshima yake kwa kuepuka kadhia hii kwa pande zote mbili. Yaani ule upande wa ccm unaotamani Hilo litokee ili wandeleze ufedhuli wao, na upande ule wa wale wanaoseme wamelipwa ili kumpokea lowassa

Hutaki Dr afanye maamuzi sahihi kwa maslai mapana ya taifa...bila shaka wewe utakuwa mnufaika wa zile 10 bn
 
Kwani shida ni nini
Tusubiri kesho tuone tumhukumu mwandishi
 
Kila kitu kina price yake, tutafurahi kumpata Lowassa at a price ya kumpoteza Slaa, kama askari ni kuwa tayari kwa lolote ni kujua nini mwisho wa siku unataka. Makamanda wa kweli haina haja kudespair hata kama ni kweli, vita ni kali twist and turns lazima zitakuwepo ni kujitayarisha kwa lolote.

Kuutoa mfumo uliojijenga kwa muda wa zaidi ya miaka 50 si mchezo. THE HARDER THE BATTLE THE SWEETER THE VICTORY!!!!!

The world post.. I salute you 100times.
 
Back
Top Bottom