Kwani hizo aya ni za kitabu gani kwani. Impole ndio nani..?Umeweka vipande vya aya ambavyo havitoi maana halisi iliyo kusudiwa.
Weka Aya kamili na asbabul nuzul ili tujadili.
Usituletee ujanja wa Sunday school hapa.
Impole amekutwa na mkufu wa dhahabu wenye gramu 400 akitoka nyumbani kwa Forexy.