Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,400
- 20,569
Haya sawa bikra huyu wa 72 utamkuta hukoUnadhihirisha tu uelewa wako mdogo,hoja hapa ni uislam kuwa flexible na wakati kama ukristu ambao waanglikana walisharuhusu ushoga tangu early 2000s na ukatoliki papa karuhusu ushoga, uislam haiwezi hilo sababu nabii alishakufa kitambo hakuna mwenye mamlaka ya kubadili jambo,huyo kamaa kaamua kupakuliwa ni yeye,akiamua kulewa,kuzini,kuiba ni yeye na si uislam,kombe la dunia qatar mkataka kupeleka agenda zenu za uchoko,ikashindikana,huo ndiyo uislam