gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 12,986
- 15,948
Unadhihirisha tu uelewa wako mdogo,hoja hapa ni uislam kuwa flexible na wakati kama ukristu ambao waanglikana walisharuhusu ushoga tangu early 2000s na ukatoliki papa karuhusu ushoga, uislam haiwezi hilo sababu nabii alishakufa kitambo hakuna mwenye mamlaka ya kubadili jambo,huyo kamaa kaamua kupakuliwa ni yeye,akiamua kulewa,kuzini,kuiba ni yeye na si uislam,kombe la dunia qatar mkataka kupeleka agenda zenu za uchoko,ikashindikana,huo ndiyo uislamPunguza keleleView attachment 3117698