Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 3,938
- 3,211
wish mgemjua huyu ulimboka vizuri msingembeza na kumsema vibaya kwa mimi niliyefanya nae kazi namuelewa vizuri tu ni dr mzuri sana na fanisi kwenye kile anachokifanya but mbali na hiyo mishahara hduma ni mbaya kwasababu vifaa hakuna huko mahospitali sm time unaingia kazini unamuangalia mgonjwa hata hujui uanzie wapi sababu tu vifaa hakuna ukiandikia report unaambia fungu hakuna sasa kama serikali haina fungu mimi mfanyakazi nimsaidieje huyu raia kwa namna hii wataendelea kufa ndugu zetu huku hao waliomng'oa meno wanaenda kutibiwa india.
Nafikiri yeye aliwakilisha tu madai ya wafanyakazi wote wa sekta ya afya lkn luck was not on his side yeye akaonekana mbaya na mwenye kuchochea zaidi. Laiti vifaa vingekuwepo utendaji wa kzi ungekuwa rahisi sana na mishahara isingekuwa big deal sana watu wangeelewa. Ila tatizo mishara duni, bado vifaa hakuna,wagonjwa wanalala chini,dawa hazitoshi huyohuyo dr anatibu zaidi ya idadi anayotakiwa kutibu
umefanya nae kazi wapi?