Laana ni kwa wale wauwaji wa Mabwepande kina Insp Msangi na wenzake, naona kuna haja jamaa aanze ku record kila kitu for records ili hata ikitokea lolote tunaweza kwenda nacho The Hague kama ushahidi!!!!Habari mbaya sana hizi kwa mashetani wenzangu wa MABWEPANDE, mbona tunaumbuka hivi!? kila tunachogusa hakifanikiwi?? moja inagoma mbili haikai?? tuna laana ya watanzania nini!? mipango yote inavurugika why!!?'?
Hari ya Dr. Olimboka aluyeko A. Kusini kwa matibabu inaendelea vizuri hasa baada ya taarifa kupatikana kuwa anaendelea vizuri na kwa sasa ameenza kutembea mwenyewe na kula mwenyewe.
Source Gazeti la Mtanzania
nyie si wauaji wenyewe au unapima .Mungu atamjalia atapona haraka nakurudi kuungana na famalia yake.
Kwa mara ya kwanza ninakupa hongera kwa kuwa na kauli yenye utu.
Laana ni kwa wale wauwaji wa Mabwepande kina Insp Msangi na wenzake, naona kuna haja jamaa aanze ku record kila kitu for records ili hata ikitokea lolote tunaweza kwenda nacho The Hague kama ushahidi!!!!
Mungu apewe sifa kwa kuwapa moyo wa upendo madaktari wa Afrika Kusini maana wangegoma, sijui hatma ya Dr. Ully ingekuwaje.
Sifa ziende kwa Yesu wa Nazareth.
Asante YESU Sifa kwa Yesu. Asante kwa Huruma na Upendo wako mkuu kwa Dr. Ulimboka. Tutakusifu na kukuabudu siku zote kwa maana wewe ni Mkuu.Thank you Jesus!
I have been praying daily for Dr.ULimboka since he was hospitalised 2 weeks ago.God is really good to them who believes Him. Hakika atakuwa amesikia maombi na vilio vya Watanzania. Nina imani kabisa Mungu amekuwa na makusudi ya kumwepusha na kifo Dr. ulimboka ili aweze kuweka wazi MAOVU YANAYOFANYWA NA SERIKALI YA CCM dhidi ya Watanzania.
ONYO: Kwa vile kuna habari za kuaminika kuwa kuna UWT/TISS wamepelekwa Afrika Kusini kwenda kumwua Dr. Ulimboka,ni lazima kuwa na ulinzi na uangalizi wa karibu sana maana hawa jamaa walishapanga kuondoa uhai wake na wanashangaa sana kwanini hakufa kule Mabwepande maana wao walijua wameshamaliza kazi. Kuna msukumo mkubwa sana katika hili la kummaliza kwa vile Dr.Uli amebeba siri muhimu sana za hao waliomteka(Majasusi wa Serikali ya CCM) na kuendelea kuishi kwa Dr. Ulimboka kuna hatarisha kwanza maisha ya hawa majasusi lakini pia kuna hatarisha Usalama wa Serikali ya CCM kwa 100 pc! Kwa hiyo wanafanya kila mbinu kummaliza Dr.Uli at any cost! Please be very very careful Doc.