Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

Mungu ampe nguvu mtetezi wa watu " kumbe goliat na david" kumbe mkono mtupu unaweza pigana na smg
 
ü Saaaaaaanaaaa!

Hii ni njema kwetu na mbaya kwa Siri-kali. Anyway, "liwalo na liwe" japo ni "Dhaifu"
 
Habari mbaya sana hizi kwa mashetani wenzangu wa MABWEPANDE, mbona tunaumbuka hivi!? kila tunachogusa hakifanikiwi?? moja inagoma mbili haikai?? tuna laana ya watanzania nini!? mipango yote inavurugika why!!?'?
 
hii habari nimeisikia magazetini RFA hakika ni habari njema sana..na madaktari waliofutiwa usajiri wamesema hayo waliyategemea na hiyo haifanyi walegeze kamba..
 
Hari ya Dr. Olimboka aluyeko A. Kusini kwa matibabu inaendelea vizuri hasa baada ya taarifa kupatikana kuwa anaendelea vizuri na kwa sasa ameenza kutembea mwenyewe na kula mwenyewe.

Source Gazeti la Mtanzania

Mungu apewe sifa kwa kuwapa moyo wa upendo madaktari wa Afrika Kusini maana wangegoma, sijui hatma ya Dr. Ully ingekuwaje.
 
hizo ni sala na maombi ya viumbe ambao ni binadamu tofauti na maombi ya mashetani ambao ni serikali na hasa ............
 
Back
Top Bottom