Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
I DO NOT TRUST THE SOSi
Mungu atamjalia atapona haraka nakurudi kuungana na famalia yake.
haya sasa mmisha pata taarifa anakula na kutembea mwenyewe, msije tena (mkamlimboka)2Mungu atamjalia atapona haraka nakurudi kuungana na famalia yake.
Ritz Malizia na Kuondoka sintofahamu kuwa ninani aliyeusika na kuteswa kwake.Mungu atamjalia atapona haraka nakurudi kuungana na famalia yake.
Good news kwa wapenda maendeleo wote nchini.Tuzidi kumwombea kwa Mungu ili aweze kupona haraka zaidi ili aje tuendelee na mchakato wa kuleta mabadiliko nchini
Mungu apewe sifa kwa kuwapa moyo wa upendo madaktari wa Afrika Kusini maana wangegoma, sijui hatma ya Dr. Ully ingekuwaje.
Mungu atamjalia atapona haraka nakurudi kuungana na famalia yake.
Mungu ni mwema sana,shetani anazidi kuaibika
Sio SA pekee, kwani hata 'watani' zetu Kenya wanajitahidi na wanaenda vizuri.Nchini Afrika ya kusini wana uongozi bora, kuweza kuhudumia wana nchi wake kwa huduma muhimu ikiwemo Afya. (Hospital nzuri zenye vifaa na dawa za kutosha, pia wanawajari wahudumu wa afya pia) Mungu atusaidie kuwa na viongozi wenye kutoa maamuzi yenye hekima na busara kunusuru maisha ya wa Tanzania.
Ahsante Mkuu kwa taarifa, ila jamaa inabidi kuongeza ulinzi maana hawa watu bado wako free so they can plan anything to cover up the issue!!!Hari ya Dr. Olimboka aluyeko A. Kusini kwa matibabu inaendelea vizuri hasa baada ya taarifa kupatikana kuwa anaendelea vizuri na kwa sasa ameenza kutembea mwenyewe na kula mwenyewe.
Source Gazeti la Mtanzania
Mambo yenu mnayo tetea yatawekwa hadharani, labda mmnunue kwa fedha nyingi kama ilivyo kawaid yenu mnatumia kila mbinu!!!!Mungu atamjalia atapona haraka nakurudi kuungana na famalia yake.