said kikaa
Senior Member
- Aug 7, 2012
- 108
- 23
asubir kwanza tuchek ya mkuu wa uamsho kama zina fanana ivi.
Hii kesi si ipo mahakamani.
Kwa mujibu wa ripoti iliyoandaliwa na Dr. Ulimboka na kusomwa na wakili wake,ametamka bayana kuwa mtu aliyekuwa akiwasiliana nae muda mfupi kabla ya kutekwa ni Bw. Ramadhani Igondu yule yule aliyetajwa kwenye gazeti la Mwanahalisi
Baada ya kimya kirefu leo dr ulimboka ametoa taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na wanasheria wake shayo pamoja na nyaroro kicheere.ameshangazwa na serikali kutomkamata mtu huyo na amesema yupo tayari kutoa ushirikiano kwa tume huru japo mpaka sasa haijaundwa.
Source clouds news ya 18:00pm
my take: kumbe MWANAHALISI walikua very right
Hana jipya huyo Dr. Ameishafungwa mdomo!
It is just a boredom story at present!
angewahi...ungefanya nini?
amechelewa sana, angeongea mapema heshima yake ingekuwa juu kinoma
Dr ulimboka umechelewa.
Serikali ya magamba noma,wameona virugu za kuchoma makanisa zimezidi wameamua wamtumie ulimboka kama shock absorber.KAMA BABU WA LOLIONDO VILE!